CORONA CHALLENGE

Je? Wewe ni mbunifu, mwana sayansi au mjasiriamali na una miaka kati ya 7 na 12?

Shiriki kwenye shindano letu la ubunifu, kwa ajili ya kupata usuluhishi wa matatizo yanayotokana na janga la virusi vya Corona.

Washindi watapata vifaa vya ubunifu kutoka Jenga Hub, pamoja na nafasi ya kutambulika kwenye tovuti yetu na kurasa zetu kwenye mitandao ya kijamii.

Jenga hub kwa kushirikiana na Designathon Works, wanafuraha kukuletea shindano hili la CORONA CHALLENGE, kuwapa fursa watoto na vijana kushiriki katika mijadala pamoja na kupata ufumbuzi wa matatizo yanayotokana na janga la virusi vya Corona.

Are you an inventor, scientist or entrepreneur and are you between 7 and 12 years old?

Enter our design competition and come up with solutions for problems related to the Corona virus!

Winners will receive a special place on our website’s ‘Wall of Fame’ as well as some creative materials!

The challenge is running simultaneously in countries around the world and in collaboration with our international network partners.

“If we teach today as we taught yesterday,
we rob our children of tomorrow”
John Dewey
  • Sign Up
Lost your password? Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.